The Fulton County D.A.'s office said the documents either do not exist or are exempt from disclosure under state law.
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kati ya mwezi Mei/Juni 2025 mara baada ya bunge kuijadili na kuidhinisha rasimu ya dira hiyo. Hayo yamebainishwa leo ...
Profesa Mohamed Yakub Janabi ni Ofisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) tangu mwaka 2022 hadi sasa. Ni mwanataaluma mbobezi katika sekta ya sayansi ya tiba akiwa na shahada tatu.