Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini ni demokrasia ya kikatiba ambayo imekita mizizi katika utawala wa ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO hufanya kazi kwenye mstari wa mbele wa masuala ya afya katika zaidi ya maeneo ...
Watu wa Ukraine, walio nyumbani na waliohamia nchi nyingine, wanahitaji ulimwengu waendelee kuwaunga mkono ili kujenga upya maisha yao na kudumisha matumaini ya maisha bora ya baadaye.
faida na hasara zake kwa wanachama wa Umoja wa Ulaya na kuangalia namna bora ya kutatua changamoto hiyo. Waziri wa Mambo ya ndani wa Slovakia, Matus Sutaj Estok alikosoa msimamo huo wa Ukraine na ...
Maafisa wa Mataifa ya magharibi wameionya Ukraine kuhusiana na mivutano inayoongezeka kati ya waziri wa ulinzi na mkuu wa ofisi ya manunuzi ya wizara ya ulinzi. Maafisa hao wamesema hali hiyo ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin, amesema nchi yake inaweza kufanya mazungumzo ya amani na Ukraine, lakini amefutilia mbali uwezekano wa kuzungumza moja kwa moja na Rais wa nchi hiyo Volodymyr Zelensky.
"Miili ya mashujaa 757 waliopoteza maisha kwa ajili ya kupigani taifa imerudishwa Ukraine," Makao Makuu ya Uratibu wa Matibabu ya Wafungwa wa Vita imesema kwenye Telegram. Imechapishwa: 24/01/2025 ...
Nusu ya walioshiriki utafiti uliofanywa nchini Ukraine wanaunga mkono wazo la kumaliza vita na Urusi hata kama inamaanisha kufikia mapatano. Chombo cha habari cha Ukraine cha Ukrainska Pravda jana ...
Wajumbe wa shirika la utangazaji la umma la Ukraine wamekuwa wakijifunza jinsi ya kuhifadhi vizuri filamu katika kituo cha NHK Japani. Shirika la habari la Ukraine lilianzishwa mwaka 2017 kwa ...
Urusi iko tayari kwa mazungumzo lakini haioni "nia njema" kwa upande wa Ukraine, Vladimir Putin amesema katika mahojiano kwenye televisheni ya serikali, akifutilia mbali kwa muda kuwa mazungumzo ...
Ukraine’s military has claimed its largest air attacks yet on Russian territory since the start of the war nearly three years ago as Donald Trump prepares to take the presidency in the United ...